Isaya 62:3
Isaya 62:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Utakuwa taji zuri mkononi mwa Mwenyezi-Mungu; kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako.
Shirikisha
Soma Isaya 62Isaya 62:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe utakuwa taji la uzuri katika mkono wa BWANA, na kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako.
Shirikisha
Soma Isaya 62