Mwanzo 42:6
Mwanzo 42:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati huo Yosefu alikuwa ndiye mkuu huko Misri. Yeye ndiye aliyehusika na kuwauzia wananchi nafaka. Basi, kaka zake wakaja na kumwinamia Yosefu kwa heshima.
Shirikisha
Soma Mwanzo 42Mwanzo 42:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Yusufu alikuwa ni mkuu juu ya nchi, ndiye aliyewauzia watu wote wa nchi. Nao ndugu zake Yusufu wakaja, wakainama kifudifudi mbele yake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 42