Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 42:6

Mwanzo 42:6 BHN

Wakati huo Yosefu alikuwa ndiye mkuu huko Misri. Yeye ndiye aliyehusika na kuwauzia wananchi nafaka. Basi, kaka zake wakaja na kumwinamia Yosefu kwa heshima.

Soma Mwanzo 42

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 42:6

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha