Kutoka 13:18
Kutoka 13:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Badala yake, Mungu aliwapitisha Waisraeli katika njia ya mzunguko kupitia jangwani, kuelekea bahari ya Shamu. Waisraeli waliondoka nchini Misri wakiwa wamejiandaa kwa vita.
Shirikisha
Soma Kutoka 13Kutoka 13:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
lakini Mungu akawazungusha hao watu kwa njia ya bara kando ya Bahari ya Shamu; wana wa Israeli wakakwea kutoka nchi ya Misri wakiwa tayari kwa vita.
Shirikisha
Soma Kutoka 13