Kumbukumbu la Sheria 34:1-2
Kumbukumbu la Sheria 34:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Musa akapanda kutoka uwanda wa Moabu mpaka mlima Nebo, hata kilele cha Pisga kukabili Yeriko. BWANA akamwonyesha nchi yote ya Gileadi hata Dani; na Naftali yote, na nchi ya Efraimu na Manase, na nchi yote ya Yuda, mpaka bahari ya magharibi
Kumbukumbu la Sheria 34:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Mose akaondoka kwenye tambarare ya Moabu, akaenda mlimani Nebo, akapanda kilele cha Pisga kilicho mkabala wa Yeriko. Hapo Mwenyezi-Mungu akamwonesha nchi yote: Toka Gileadi mpaka Dani; eneo lote la Naftali, eneo la Efraimu na Manase, eneo lote la Yuda mpaka Bahari ya Mediteranea
Kumbukumbu la Sheria 34:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa akapanda kutoka uwanda wa Moabu mpaka mlima Nebo, hata kilele cha Pisga kukabili Yeriko. BWANA akamwonesha nchi yote ya Gileadi hata Dani; na Naftali yote, na nchi ya Efraimu na Manase, na nchi yote ya Yuda, mpaka bahari ya magharibi
Kumbukumbu la Sheria 34:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Musa akapanda kutoka uwanda wa Moabu mpaka mlima Nebo, hata kilele cha Pisga kukabili Yeriko. BWANA akamwonyesha nchi yote ya Gileadi hata Dani; na Naftali yote, na nchi ya Efraimu na Manase, na nchi yote ya Yuda, mpaka bahari ya magharibi
Kumbukumbu la Sheria 34:1-2 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Kisha Musa akaupanda mlima Nebo kutoka tambarare za Moabu hadi kilele cha Pisga, ng’ambo ya Yeriko. Huko Mwenyezi Mungu akamwonesha nchi yote: kutoka Gileadi hadi Dani, Naftali yote, nchi ya Efraimu na Manase, nchi yote ya Yuda hadi bahari ya magharibi