Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Torati 34:1-2

Kumbukumbu la Torati 34:1-2 SRUV

Musa akapanda kutoka uwanda wa Moabu mpaka mlima Nebo, hata kilele cha Pisga kukabili Yeriko. BWANA akamwonesha nchi yote ya Gileadi hata Dani; na Naftali yote, na nchi ya Efraimu na Manase, na nchi yote ya Yuda, mpaka bahari ya magharibi