Amosi 2:6
Amosi 2:6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Hili ndilo asemalo BWANA: “Kwa dhambi tatu za Israeli, hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. Wanawauza wenye haki kwa fedha, na maskini kwa jozi ya viatu.
Shirikisha
Soma Amosi 2Amosi 2:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Waisraeli wametenda dhambi tena na tena, kwa hiyo sitaacha kuwaadhibu. Wamewauza watu waaminifu kwa kuwa hawakuweza kulipa madeni yao; na kuwauza watu fukara wasioweza kulipa deni la kandambili.
Shirikisha
Soma Amosi 2