Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Amosi 2:6

Amosi 2:6 NEN

Hili ndilo asemalo BWANA: “Kwa dhambi tatu za Israeli, hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. Wanawauza wenye haki kwa fedha, na maskini kwa jozi ya viatu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Amosi 2:6