Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zekaria 8:13

Zekaria 8:13 BHN

Enyi watu wa Yuda na watu wa Israeli! Wakati uliopita nyinyi mlionekana kuwa watu waliolaaniwa kati ya watu wa mataifa. Lakini sasa mimi nitawaokoeni, nanyi mtakuwa watu waliobarikiwa. Basi, msiogope tena, bali jipeni moyo!”

Soma Zekaria 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zekaria 8:13