Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zek 8:13

Zek 8:13 SUV

Kisha itakuwa, kama vile mlivyokuwa laana katika mataifa, Ee nyumba ya Yuda, na nyumba ya Israeli, ndivyo nitakavyowaokoa, nanyi mtakuwa baraka; msiogope, lakini mikono yenu na iwe hodari.

Soma Zek 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zek 8:13