Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zekaria 12:10

Zekaria 12:10 BHN

Wazawa wa Daudi na wakazi wa mji wa Yerusalemu nitawajaza roho ya huruma na maombi, nao watamtazama yeye waliyemtoboa; watamlilia kama mtu amliliavyo mtoto wake wa pekee, au kama mtu amliliavyo kwa uchungu mzaliwa wake wa kwanza.

Soma Zekaria 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zekaria 12:10