Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zekaria 1:17

Zekaria 1:17 BHN

Kisha malaika huyo akaniambia nitangaze ujumbe huu mwingine: “Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: ‘Miji yangu itafurika tena fanaka. Mimi Mwenyezi-Mungu nitaufariji tena mji wa Siyoni; nitauteua mji wa Yerusalemu kuwa wangu.’”

Soma Zekaria 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zekaria 1:17

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha