Zekaria 1:17
Zekaria 1:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha malaika huyo akaniambia nitangaze ujumbe huu mwingine: “Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: ‘Miji yangu itafurika tena fanaka. Mimi Mwenyezi-Mungu nitaufariji tena mji wa Siyoni; nitauteua mji wa Yerusalemu kuwa wangu.’”
Shirikisha
Soma Zekaria 1Zekaria 1:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Piga kelele tena, na kusema, BWANA wa majeshi asema hivi, Miji yangu itajawa na ufanisi tena; naye BWANA ataufariji Sayuni tena, atauchagua Yerusalemu tena.
Shirikisha
Soma Zekaria 1