Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wimbo Ulio Bora 2:14

Wimbo Ulio Bora 2:14 BHN

Ee hua wangu, uliyejificha miambani. Hebu niuone uso wako, hebu niisikie sauti yako, maana sauti yako yapendeza na uso wako wavutia.