Wimbo Ulio Bora 2:14
Wimbo Ulio Bora 2:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee hua wangu, uliyejificha miambani. Hebu niuone uso wako, hebu niisikie sauti yako, maana sauti yako yapendeza na uso wako wavutia.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 2Wimbo Ulio Bora 2:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hua wangu, mafichoni mwa jabali, Katika sitara za, magenge Nitazame uso wako, nisikie sauti yako, Maana sauti yako ni tamu na uso wako unapendeza.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 2