Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ruthu 1:13

Ruthu 1:13 BHN

je, mngeweza kungoja mpaka wakue? Je, mngeweza kujizuia msiolewe na waume wengine? Sivyo, binti zangu! Mambo yangu ni magumu mno kwa ajili yenu, maana Mwenyezi-Mungu amenipiga kipigo.”

Soma Ruthu 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ruthu 1:13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha