Ruthu 1:13
Ruthu 1:13 Biblia Habari Njema (BHN)
je, mngeweza kungoja mpaka wakue? Je, mngeweza kujizuia msiolewe na waume wengine? Sivyo, binti zangu! Mambo yangu ni magumu mno kwa ajili yenu, maana Mwenyezi-Mungu amenipiga kipigo.”
Shirikisha
Soma Ruthu 1Ruthu 1:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
je! Mngesubiri hata watakapokuwa watu wazima? Mngejizuia msiwe na waume? La, sivyo, wanangu; maana ni vigumu kwangu kuliko kwenu, kwa sababu mkono wa BWANA umetoka juu yangu.
Shirikisha
Soma Ruthu 1