Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waroma 15:8-9

Waroma 15:8-9 BHN

Maana, nawaambieni Kristo aliwatumikia Wayahudi apate kuonesha uaminifu wa Mungu, na zile ahadi Mungu alizowapa babu zetu zipate kutimia; ili nao watu wa mataifa mengine wapate kumtukuza Mungu kwa sababu ya huruma yake. Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Kwa hiyo nitakusifu miongoni mwa watu wa mataifa. Nitaziimba sifa za jina lako.”

Video for Waroma 15:8-9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waroma 15:8-9