Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 15:8-9

Rum 15:8-9 SUV

Kwa maana nasema, ya kwamba Kristo amefanyika mhudumu wa agano la kutahiriwa kwa ajili ya kweli ya Mungu, kusudi azithibitishe ahadi walizopewa baba zetu; tena ili Mataifa wamtukuze Mungu kwa ajili ya rehema zake; kama ilivyoandikwa, Kwa hiyo nitakushukuru kati ya Mataifa, Nami nitaliimbia jina lako.

Soma Rum 15

Video for Rum 15:8-9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 15:8-9