Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waroma 1:4-5

Waroma 1:4-5 BHN

kuhusu utakatifu wake wa kimungu, alithibitishwa kwa uwezo mkuu kwamba ni Mwana wa Mungu kwa kufufuliwa kutoka kwa wafu. Kwa njia yake, mimi nimepewa neema ya kuwa mtume, ili kwa ajili yake niwaongoze watu wa mataifa yote wapate kuamini na kutii.

Video for Waroma 1:4-5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waroma 1:4-5