Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 1:4-5

Rum 1:4-5 SUV

na kudhihirishwa kwa uweza kuwa Mwana wa Mungu, kwa jinsi ya roho ya utakatifu, kwa ufufuo wa wafu, Yesu Kristo Bwana wetu; ambaye katika yeye tulipokea neema na utume ili mataifa yote wapate kujitiisha kwa imani, kwa ajili ya jina lake

Soma Rum 1

Video for Rum 1:4-5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 1:4-5