Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waroma 1:3-4

Waroma 1:3-4 BHN

Hii Habari Njema inamhusu Mwana wa Mungu, Bwana wetu Yesu Kristo, ambaye kuhusu ubinadamu wake, alikuwa mzawa wa Daudi; kuhusu utakatifu wake wa kimungu, alithibitishwa kwa uwezo mkuu kwamba ni Mwana wa Mungu kwa kufufuliwa kutoka kwa wafu.

Video ya Waroma 1:3-4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waroma 1:3-4