Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 1:3-4

Warumi 1:3-4 SRUV

yaani, habari za Mwanawe, aliyezaliwa katika ukoo wa Daudi kwa jinsi ya mwili, na kudhihirishwa kwa uweza kuwa Mwana wa Mungu, kwa jinsi ya roho ya utakatifu, kwa ufufuo wa wafu, Yesu Kristo Bwana wetu

Soma Warumi 1

Video ya Warumi 1:3-4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 1:3-4