Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 17:12-14

Ufunuo 17:12-14 BHN

“Zile pembe kumi ulizoziona ni wafalme ambao bado hawajaanza kutawala. Lakini watapewa mamlaka ya kutawala kwa muda wa saa moja pamoja na yule mnyama. Shabaha ya hawa kumi ni moja, na watampa yule mnyama nguvu na mamlaka yao yote. Watapigana na Mwanakondoo, lakini Mwanakondoo pamoja na wale aliowaita na kuwachagua ambao ni waaminifu, atawashinda kwa sababu yeye ni Bwana wa mabwana na Mfalme wa wafalme.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 17:12-14