Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 12:1-2

Ufunuo 12:1-2 BHN

Kisha, ishara kubwa ikaonekana mbinguni: Mwanamke aliyevikwa jua na mwezi chini ya miguu yake na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake! Alikuwa mjamzito, naye akapaza sauti kwa maumivu na uchungu wa kujifungua mtoto.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 12:1-2