Ufunuo 12:1-2
Ufunuo 12:1-2 SRUV
Na ishara kuu ilionekana mbinguni; mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi ulikuwa chini ya miguu yake, na juu ya kichwa chake taji la nyota kumi na mbili. Naye alikuwa ana mimba, akilia, akiwa na uchungu na kuumwa katika kuzaa.