Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 9:9-10

Zaburi 9:9-10 BHN

Mwenyezi-Mungu ni ngome ya watu wanaoonewa; yeye ni ngome nyakati za taabu. Wanaokujua wewe, ee Mungu hukutegemea, wewe Mwenyezi-Mungu huwatupi wakutafutao.

Soma Zaburi 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 9:9-10