Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 9:9-10

Zab 9:9-10 SUV

BWANA atakuwa ngome kwake aliyeonewa, Naam, ngome kwa nyakati za shida. Nao wakujuao jina lako wakutumaini Wewe, Maana Wewe, BWANA hukuwaacha wakutafutao.

Soma Zab 9