Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 9:10-12

Zaburi 9:10-12 BHN

Wanaokujua wewe, ee Mungu hukutegemea, wewe Mwenyezi-Mungu huwatupi wakutafutao. Mwimbieni sifa Mwenyezi-Mungu akaaye Siyoni. Yatangazieni mataifa mambo aliyotenda! Mungu hulipiza kisasi kwa umwagaji damu; kamwe hasahau kilio cha wanaoonewa.

Soma Zaburi 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 9:10-12