Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 9:10-12

Zab 9:10-12 SUV

Nao wakujuao jina lako wakutumaini Wewe, Maana Wewe, BWANA hukuwaacha wakutafutao. Mwimbieni BWANA akaaye Sayuni, Yatangazeni kati ya watu matendo yake. Maana mlipiza kisasi cha damu awakumbuka, Hakukisahau kilio cha wanyonge.

Soma Zab 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 9:10-12