Zaburi 9:10-12
Zaburi 9:10-12 SRUV
Nao wakujuao jina lako wakutumaini Wewe, Maana Wewe, BWANA hukuwaacha wakutafutao. Mwimbieni BWANA akaaye Sayuni, Yatangazeni kwa watu matendo yake. Maana mlipiza kisasi cha damu awakumbuka, Hakukisahau kilio cha wanyonge.