Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 77:1-2

Zaburi 77:1-2 BHN

Namlilia Mungu kwa sauti, kwa sauti namlilia Mungu anisikie. Wakati wa taabu namwomba Bwana; namnyoshea mikono yangu usiku bila kuchoka, lakini sipati faraja yoyote kwa mtu.

Soma Zaburi 77

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha