Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 77:1-2

Zaburi 77:1-2 NEN

Nilimlilia Mungu ili anisaidie, nilimlilia Mungu ili anisikie. Nilipokuwa katika taabu, nilimtafuta Bwana, usiku nilinyoosha mikono bila kuchoka na nafsi yangu ilikataa kufarijika.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha