Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 63:1-5

Zaburi 63:1-5 BHN

Ee Mungu, wewe u Mungu wangu, nami nakutafuta kwa moyo; roho yangu inakutamani kama mtu mwenye kiu; nina kiu kama nchi kavu isiyo na maji. Nimetaka kukuona patakatifuni pako, niione nguvu yako na utukufu wako. Fadhili zako ni bora kuliko maisha, nami nitakusifu kwa mdomo wangu. Nitakushukuru maisha yangu yote; nitainua mikono yangu na kukuomba. Roho yangu inafurahi kama kwa karamu na vinono; kwa shangwe nitaimba sifa zako.

Soma Zaburi 63

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 63:1-5