Zaburi 5:1-2
Zaburi 5:1-2 BHN
Usikilize maneno yangu, ee Mwenyezi-Mungu, usikie ninavyopiga kite. Usikilize kilio changu, Mfalme wangu na Mungu wangu, maana wewe ndiwe nikuombaye.