Zaburi 5:1-2
Zaburi 5:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Usikilize maneno yangu, ee Mwenyezi-Mungu, usikie ninavyopiga kite. Usikilize kilio changu, Mfalme wangu na Mungu wangu, maana wewe ndiwe nikuombaye.
Shirikisha
Soma Zaburi 5Zaburi 5:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, uyasikilize maneno yangu, Ukuangalie kutafakari kwangu. Uisikie sauti ya kilio changu, Ee Mfalme wangu na Mungu wangu, Kwa maana Wewe ndiwe nikuombaye.
Shirikisha
Soma Zaburi 5