Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 37:39-40

Zaburi 37:39-40 BHN

Mwenyezi-Mungu huwaokoa waadilifu, na kuwalinda wakati wa taabu. Mwenyezi-Mungu huwasaidia na kuwaokoa; huwatoa makuchani mwa waovu na kuwaokoa, maana wanakimbilia usalama kwake.

Soma Zaburi 37