Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 37:39-40

Zaburi 37:39-40 NEN

Wokovu wa wenye haki hutoka kwa BWANA, yeye ni ngome yao wakati wa shida. BWANA huwasaidia na kuwaokoa, huwaokoa kutoka kwa waovu na kuwahifadhi, kwa maana wanamkimbilia.