Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 31:9-10

Zaburi 31:9-10 BHN

Unionee huruma, ee Mwenyezi-Mungu, niko taabuni; macho yangu yamechoka kwa huzuni, nimeishiwa nguvu mwilini na rohoni. Maisha yangu yamekwisha kwa majonzi; naam, miaka yangu kwa kulalamika. Nguvu zangu zimeniishia kwa kutaabika; hata mifupa yangu imekauka.

Soma Zaburi 31

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 31:9-10