Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 31:9-10

Zab 31:9-10 SUV

Ee BWANA, unifadhili, maana ni katika dhiki, Jicho langu limenyauka kwa masumbufu, Naam, mwili wangu na nafsi yangu. Maana maisha yangu yamekoma kwa huzuni, Na miaka yangu kwa kuugua. Nguvu zangu zinatetemeka kwa uovu wangu, Na mifupa yangu imekauka.

Soma Zab 31

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 31:9-10