Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 29:3-4

Zaburi 29:3-4 BHN

Sauti ya Mwenyezi-Mungu yasikika juu ya maji; Mungu mtukufu angurumisha radi, sauti ya Mwenyezi-Mungu yasikika juu ya bahari! Sauti ya Mwenyezi-Mungu ina nguvu, sauti ya Mwenyezi-Mungu imejaa fahari.

Soma Zaburi 29

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 29:3-4