Zaburi 29:3-4
Zaburi 29:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Sauti ya Mwenyezi-Mungu yasikika juu ya maji; Mungu mtukufu angurumisha radi, sauti ya Mwenyezi-Mungu yasikika juu ya bahari! Sauti ya Mwenyezi-Mungu ina nguvu, sauti ya Mwenyezi-Mungu imejaa fahari.
Shirikisha
Soma Zaburi 29Zaburi 29:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sauti ya BWANA inasikika juu ya maji; Mungu wa utukufu apiga radi; BWANA yu juu ya maji mengi. Sauti ya BWANA ina nguvu; Sauti ya BWANA ina utukufu
Shirikisha
Soma Zaburi 29