Zaburi 29:3-4
Zaburi 29:3-4 NEN
Sauti ya BWANA iko juu ya maji; Mungu wa utukufu hupiga radi, BWANA hupiga radi juu ya maji makuu. Sauti ya BWANA ina nguvu; sauti ya BWANA ni tukufu.