Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 22:1-2

Zaburi 22:1-2 BHN

Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? Mbona uko mbali sana kunisaidia, mbali na maneno ya kilio changu? Ee Mungu wangu, nalia mchana lakini hujibu; napiga yowe usiku, lakini nafuu sipati.

Soma Zaburi 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 22:1-2