Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 22:1-2

Zaburi 22:1-2 SRUV

Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha? Mbona U mbali na wokovu wangu, Na maneno ya kuugua kwangu? Ee Mungu wangu, nalia mchana lakini hujibu Na wakati wa usiku lakini sipati raha.

Soma Zaburi 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 22:1-2