Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 141:1-2

Zaburi 141:1-2 BHN

Nakuita, ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia! Uisikilize sauti yangu wakati ninapokuita! Sala yangu uipokee kama ubani; niinuapo mikono yangu kwako unikubali kama tambiko ya jioni.

Soma Zaburi 141

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 141:1-2