Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 141:1-2

Zab 141:1-2 SUV

Ee BWANA, nimekuita, unijie hima, Uisikie sauti yangu nikuitapo. Sala yangu ipae mbele zako kama uvumba, Kuinuliwa mikono yangu kama dhabihu ya jioni.

Soma Zab 141

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 141:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha