Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 139:13-14

Zaburi 139:13-14 BHN

Wewe umeniumba, mwili wangu wote; ulinitengeneza tumboni mwa mama yangu. Nakusifu maana nimefanywa kwa namna ya ajabu, matendo yako ni ya ajabu; wewe wanijua kabisakabisa.

Soma Zaburi 139

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 139:13-14

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha