Zaburi 139:13-14
Zaburi 139:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe umeniumba, mwili wangu wote; ulinitengeneza tumboni mwa mama yangu. Nakusifu maana nimefanywa kwa namna ya ajabu, matendo yako ni ya ajabu; wewe wanijua kabisakabisa.
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana Wewe ndiwe uliyeniumba mtima wangu, Uliniunga tumboni mwa mama yangu. Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa Kwa njia ya ajabu ya kutisha. Matendo yako ni ya ajabu, Na nafsi yangu yajua sana
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:13-14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana Wewe ndiwe uliyeniumba mtima wangu, Uliniunga tumboni mwa mama yangu. Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa Kwa jinsi ya ajabu ya kutisha. Matendo yako ni ya ajabu, Na nafsi yangu yajua sana
Shirikisha
Soma Zaburi 139