Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 121:1-3

Zaburi 121:1-3 BHN

Natazama juu milimani; msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu watoka kwa Mwenyezi-Mungu, aliyeumba mbingu na dunia. Hatakuacha uanguke; mlinzi wako hasinzii.

Soma Zaburi 121

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 121:1-3